RAIS WA WALALAHOI
Member
- Oct 2, 2012
- 14
- 3
Mkosangana huko kibosho
Sereni, materu, kimashuku, dakau, kofofoo, kwaalekisandri, mlama, ntudu, uchau, narumu, isale, ngumadu, kitarasa, ulawi, kibulu, inanambo, nyinyile, ndishi, masambu, ngera, ulela, mfongo, nungu, ubata, kideewa, maaru a soko, ndolo, nganana, ndafu, ichondri, suwa, ndeena, kirana, nguku, masembo, mburasi, woro, mmawomi, marawa, kikavu. Huko ni Moshi.
uchigawa
Kitu moro kwetu hiyo!Wap hiyo ipo?...
Makunduchi, Kibanda maiti, Kiembe Samaki, Raha Leo, Mchamba Wima, Dole, Mto wa Mbu-Zanzibar kwa majina!
.kiembe ulanzi iringa hiyo, kidamali. Vijiji vya Songea sasa litisha, lingusenguse, mliayoyo, likuyufusi, kumlogolo, ndongosi, mpitimbi, mbwambwasi, mlete, mletele, lituhi, ndilimalitembo, NDILIMA ZA WAYAHI. Sumbawanga kuna mpui mponda, king'ombe. Hehee majina ya kibantu raha sana!