Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Sereni, materu, kimashuku, dakau, kofofoo, kwaalekisandri, mlama, ntudu, uchau, narumu, isale, ngumadu, kitarasa, ulawi, kibulu, inanambo, nyinyile, ndishi, masambu, ngera, ulela, mfongo, nungu, ubata, kideewa, maaru a soko, ndolo, nganana, ndafu, ichondri, suwa, ndeena, kirana, nguku, masembo, mburasi, woro, mmawomi, marawa, kikavu. Huko ni Moshi.

mkuu bila shaka wewe ni mpalestina umesahau sehemu inaitwa kibobori.
 
Gilailumbwe, kitombeine, Mundarara, gilaibombo- longido-arusha
 
Mto NGONO upo mkoa wa Kagera.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kiembe ulanzi iringa hiyo, kidamali. Vijiji vya Songea sasa litisha, lingusenguse, mliayoyo, likuyufusi, kumlogolo, ndongosi, mpitimbi, mbwambwasi, mlete, mletele, lituhi, ndilimalitembo, NDILIMA ZA WAYAHI. Sumbawanga kuna mpui mponda, king'ombe. Hehee majina ya kibantu raha sana!
.
Songea pia kuna:
Litembo.
Lundipundipu.
Lusonga,
Chipole,
Magagula
Chandamali.
 
kashai, hamgembe, rwamishenyi, kyaka, m2kula, tibyatula wewee iyo bukoba
 
Back
Top Bottom