Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Hapo kwenye red hamna hiyo kitu...sumbawanga majina ya kufurahisha ni Katandala,King'ombe,Mponda,Fyengelezya,mawenzusi,kalambazite,kaswepepe,nduchi,etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…