Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

**** MOTO(japan), Mwembe Kiuno(Mtoni kwa aziz ali), mahakama ya mbuzi vingunguti, njia panda ya ulaya(Dar, airport), Ngeleja Bwabwa(Sumbawanga), **** Nkutombe(Kibondo), Vijibweni(Kigamboni),Panua Niingize(ngara),Mamba Miamba(same), Ishinde(same), Kifaru(Mwanga)Kiboro-loni(Moshi),Makorora(Tanga), Horohoro(Tanga)........
Hapo kwenye red hamna hiyo kitu...sumbawanga majina ya kufurahisha ni Katandala,King'ombe,Mponda,Fyengelezya,mawenzusi,kalambazite,kaswepepe,nduchi,etc
 
1185526_141601999383026_573138923_a.jpg
 
Back
Top Bottom