Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I knw this place aisee.... mdambanyafu. Nimeokota sana kuni huku[hahaha,kuni ndo mahala pake]
Hapo kwenye red hamna hiyo kitu...sumbawanga majina ya kufurahisha ni Katandala,King'ombe,Mponda,Fyengelezya,mawenzusi,kalambazite,kaswepepe,nduchi,etc**** MOTO(japan), Mwembe Kiuno(Mtoni kwa aziz ali), mahakama ya mbuzi vingunguti, njia panda ya ulaya(Dar, airport), Ngeleja Bwabwa(Sumbawanga), **** Nkutombe(Kibondo), Vijibweni(Kigamboni),Panua Niingize(ngara),Mamba Miamba(same), Ishinde(same), Kifaru(Mwanga)Kiboro-loni(Moshi),Makorora(Tanga), Horohoro(Tanga)........
Gilailumbwe, kitombeine, Mundarara, gilaibombo- longido-arusha
matombo
mbauda,kwamromboo-arusha...mashati-rombo...matejoo-arusha.....tupia lako
Mwanyege( sengerema)