Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Dole - Unguja
Kibanda maiti - Unguja
Kisima majongoo - Unguja
Chumvini - Tanga
 
Magari Mabovu_iringa
Mtaa Wa Mnyalukolo_mafinga
Kitanzini_iringa.
 
Mwembe kiuno-mtoni kwa azizi ali
Tambuka reli-kwetu Mwanza huko
Mtoto pepo-unguja
Mchamba wima-unguja
 
Back
Top Bottom