Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Mkanyageni -Pembwa, Dole, Kiboje -Zanziba, Mgeninani -Mbagalakuu, (Boga, Mwanaromango, Mlimazambi -Kisalawe), Donge, kiboje -Zanzibar
 
Isange, Mpombo- Mbeya, Wanging'ombe Iringa, Kipumbwiko Singida, Namanyere Rukwa!
 
1) Boo stoki ipo Kengeja, Pemba.
2)Mtuhaliwa (akingia) Ngomani, Mkanyageni: Ni mitaa ipo Pemba unapita kwa mpangilio nilioutaja. NB kwenye mabano ni maneno yangu.
 
miyuguyu, ngofila,ng'wamanota, ng'waweja- Shy
bihawana- Dom
kauma- Mwnz
gongoni, kanyenye, iborogelo,isukamaela- Tbr
bangwe, herujuu- kgoma
 
Back
Top Bottom