Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

mwembebasha-Tanga, Kisamboo-Moshi, kilimanyege-Lushoto, mferejimatako-Zenji, kiinuamigongo-soni mbuzii
 
mchamba wima......zenji
nakapanya.............ntwara
mfereji maringo......znz
Nakapanya haipo Ntwara ipo TUNDURU mkoani Ruvuma. Inapakana na Makambale upande wa Mashariki, Sisi kwa sisi kusini, Nanguruwe Magharibi na kaskazini Nakapanya inapakana na Legeza mwendo.:dance:
 
tandale kwa bibi nyau
tandale kwatumbo
tandale kwamfuga mbwa
tandika kwamaguruwe
 
Kilimanyege iko ukielekea Slipway kuna kamteremko niliambia kabla ya kufika Tanganyika Schools
 
Back
Top Bottom