Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tunaanza na Nyumbani
SHAMBA LA NYEGE RUNZEWE
NHEELEGANI SHINYANGA
NYIHANGA KAHAMA
TANDAHIMBA MTWARA
NYEGE ZII MWANZA
MKUNGUNINGA UKEREWE
KIBANDA MAUTI ZANZIBAR
NYASHOZI BUKOBA
ILEMBULA NJOMBE
KWA MFIPA KIBAHA
BUGEGE GEITA
KYAMIGO NAIROBI
KITALE KENYA
NAMTUMBO
NAMBOLE KAMPALA
 
huko kilimanjaro, kuna pahala panaitwa Nymba ya Mungu, na hapo hapo kuna kijiji kinaitwa "malaika"
 
Tabata-Utapata, Kawe-Cow Way, Msasani -Musa Hassani, Dodomya-Idudumya
 
Kifueni, kilema, maua, kindi, singa, sungu, mamadimita (muhamad mwita), saa, mango ni vijiji mkoa wa kilimanjaro
 
Makunduchi, Kibanda maiti, Kiembe Samaki, Raha Leo, Mchamba Wima, Dole, Mto wa Mbu-Zanzibar kwa majina!
 
Sereni, materu, kimashuku, dakau, kofofoo, kwaalekisandri, mlama, ntudu, uchau, narumu, isale, ngumadu, kitarasa, ulawi, kibulu, inanambo, nyinyile, ndishi, masambu, ngera, ulela, mfongo, nungu, ubata, kideewa, maaru a soko, ndolo, nganana, ndafu, ichondri, suwa, ndeena, kirana, nguku, masembo, mburasi, woro, mmawomi, marawa, kikavu. Huko ni Moshi.
 
Back
Top Bottom