Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

Kumalija hotel pale mwanza stand ya nyegezi hahahahaha

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Kakuma-Kenya
Lukuledi (look ladies) - Kusini
UsuKUMAni - Sukumaland
Hombolo - Dodoma
Hanyegwa mchana - Zanzibar
Mwembe mimba - Zanzibar
Mwembe basha - Tanga
Kagongwa - Shinyanga
Puma - Singida


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hahahahaha jaman leo sijui mmetoa wap hayo maneno hahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Ipumbulya, magolanga miti ya ng'hwani, susujanda, nanngwangula,ibologero,ni majina ambayo hunivunja mbavu.
 
Namasakata, namakambale - tunduru,mwembe mchomeke-z'bar, ipumbulya,kagongwa -igunga, ngende,mpigamiti -liwale, mkotokuyana,ruponda-nachingwea
 
Back
Top Bottom