Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Ili kuwa je watu wakaanza kubet
 
Kama mke na mume ni mwili mmoja, inakuwaje wawe na veti viwili vya ndoa

Sent from kekojuuuwanjawamchangaccm
 
Kwanini wabongo akienda mgahawani lazima aagize chai na chapati lazima ziwe mbili kwanza hata km ana mpango wa kula chapati 5. Ni aibu au Ni mazoea tu
 
Back
Top Bottom