Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Acha roho mbaya ww.....narudia tena moods unauonevu na hamtend sawa kuna mtu kanitukana bila kosa kwenye uzi wangu nimemreport zaid ya mara 100 ila cha ajabu hadi mda huu anadunda coment yake hii hapa Najitahidi kuacha Kucheza Friend Mechi na Mzazi Mwenzangu ila nashindwa.
Aisee pole jaribu wewe kutukana uone utakavyokula BAN sometimes huwa nahisi MOD wanakuja kwa ID zaonarudia tena moods unauonevu na hamtend sawa kuna mtu kanitukana bila kosa kwenye uzi wangu nimemreport zaid ya mara 100 ila cha ajabu hadi mda huu anadunda coment yake hii hapa Najitahidi kuacha Kucheza Friend Mechi na Mzazi Mwenzangu ila nashindwa.
Niffah wa Ali Kiba.Mkuu huyo nyani alipost picha ya nani???
Hao mademu wengine ni waMODNiffah wa Ali Kiba.
Siku neno ɓanneɗ linatumika ƙwenƴe avatar za watu kujua wako ɓanned ni ngumukatika Avatar yake kuna kuwa na hilo neno Banned ya rangi nyekundu
DuuhhAhidi utanipa nini???
Baba swalehe ni shiiidaHahahah huyo kweli baba swalehe aseee.
Wapo sero muda sana, siwaoniUnawataka wale ban au unawatakaje mkuu...?
Smatskills
Tomaa mireni
Hao wadau nawataka
Ban inachukua muda gani eti
Acha roho mbaya ww.....
mkuu @papoma toa ushahid kwa hyo Robeto umwambie ulichokiona maana nimeona umepita kule na kuona coment ya hyo mtuhumiwa[emoji85] [emoji85]Aisee pole jaribu wewe kutukana uone utakavyokula BAN sometimes huwa nahisi MOD wanakuja kwa ID zao
Unajuaje kama yupo banSalaaaaaaam.
Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.
Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na jazba zinaongezeka na hatimaye member kutoa kauli zinazosababisha kuwa Banned.
Sio mbaya tukijua members wenzetu ambao wako Banned na hata sababu iliyopelekea kupigwa BAN ili tujue wanastahili au wameonewa ili nasi tusipatwe na BAN kutofanya kama walichofanya.
Kwa kuanza naanza na
Jestkilla na Matola.
Sjui ni nini kilisababisha wakapigwa BAN hawa bandugu.
Unajuaje kama yupo ban