Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Siku neno ɓanneɗ linatumika ƙwenƴe avatar za watu kujua wako ɓanned ni ngumu

Na mie niliuliza hivyo je mtu akitumia kwenye Avatar yake Jambazi akasema eti wanakuunganisha na waliopigwa Ban sjui kama ni kweli hii kitu.
 
Hhahahaa halafu ni furushi lake kweli lile mkuu, yule Dada nilimpenda akanichomolea tukaishia kuwa marafiki tuu, nashukuruu niko nae ofisi moja nafaidi na macho tu

Dah, mkuu unafaidi aseee.
 
Salaaaaaaam.

Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.

Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na jazba zinaongezeka na hatimaye member kutoa kauli zinazosababisha kuwa Banned.

Sio mbaya tukijua members wenzetu ambao wako Banned na hata sababu iliyopelekea kupigwa BAN ili tujue wanastahili au wameonewa ili nasi tusipatwe na BAN kutofanya kama walichofanya.

Kwa kuanza naanza na

Jestkilla na Matola.

Sjui ni nini kilisababisha wakapigwa BAN hawa bandugu.
Unajuaje kama yupo ban
 
Unajuaje kama yupo ban

Kwenye Avatar yake kunakuwa na hilo chata.

Na pia inakuwa huwezi kuingia kwenye profile yake ukaanzisha conversation.

Na kama unatumia browser ukitaka kum-mention mtu ukianza na jina lake tu mwanzo yanakuja majina yanayofanana ila lake halitokei mkuu.
 
Back
Top Bottom