Salaaaaaaam.
Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.
Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na jazba zinaongezeka na hatimaye member kutoa kauli zinazosababisha kuwa
Banned.
Sio mbaya tukijua members wenzetu ambao wako
Banned na hata sababu iliyopelekea kupigwa BAN ili tujue wanastahili au wameonewa ili nasi tusipatwe na BAN kutofanya kama walichofanya.
Kwa kuanza naanza na
Jestkilla na
Matola.
Sjui ni nini kilisababisha wakapigwa BAN hawa bandugu.