Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Siku hizi hatusemi wamekula ban (wamefungiwaa) tunasema wamekula burn (wameunguza ID). Kamsemo haka ka kuunguza akaunti kamekuwa maarufu sana wiki hii.

Hahahah wazee wa Forex. Haya bhana.
 
Back
Top Bottom