KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
- Thread starter
- #101
Wadau Naomba Kujuzwa Mpaka Upewe Trophy Ni Vigezo Gani Unakua Umefikisha , , Pia Nini Maana Ya Trophy
Cc. JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau Naomba Kujuzwa Mpaka Upewe Trophy Ni Vigezo Gani Unakua Umefikisha , , Pia Nini Maana Ya Trophy
hahaaa swalehe sijui huwa anakulaga maharage ya wapi aiseeBaba swalehe mjinga sana yule jamaa hahaaa daah
Naskia ni binamu yke padre mcharohahaaa swalehe sijui huwa anakulaga maharage ya wapi aisee
hhaahaa mbona wengne wanadai kuwa nindugu wa beira baby boiNaskia ni binamu yke padre mcharo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba swalehe aliwaita mamods mapimbi hahaaha baba swalehe kawa baba vick
Hhahahaa halafu ni furushi lake kweli lile mkuu, yule Dada nilimpenda akanichomolea tukaishia kuwa marafiki tuu, nashukuruu niko nae ofisi moja nafaidi na macho tuLile dude lililopo kwenye Avatar yake mkuu. Hahah.
Poa mkuuhahaaa basi mimi itakuwa nawadai hela Hawa Jamaa aisee
Huyo kwenye avatar ni yeye mkuuKwan ni lakwake?
Mimi nilipigwa na sijui kosa,ipo Siku nitauliza kosa
Una ushahidi kwa hilo ulilo andika?Huyo kwenye avatar ni yeye mkuu
Ndio ninamfahamuUna ushahidi kwa hilo ulilo andika?
Mbona sazingine kunakuwa nahilo neno lakini wanaendelea Ku comment tu.katika Avatar yake kuna kuwa na hilo neno Banned ya rangi nyekundu
acha masihara basii ile pictr mbona kama co ya Malaya wabongo ileHuyo kwenye avatar ni yeye mkuu
Ulimuona wapi?Ndio...namfahamu
NANI KAKWAMBIA KWAMBA HiYO PICHA NI MALAYA? USINITOE MANENO MDOMONIacha masihara basii ile pictr mbona kama co ya Malaya wabongo ile
Alipost picha ya nan Mkuu ??!Nyani Ngabu ban alijitakia mwenyewe. Kupost picha ya mtu bila idhini yake ni kosa baya sana. Hope kala la siku 30 kabisa. Mimi mods walikuwa wananichunguliaaaa wanarudi ila nikawa Messi!