Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Huku hapanifai huku

Mbona huku ndio pazuri jmn. Rudi mamiii.
 
Si ndio mana wanasema ni sheeeda mkuu. Hahah.
It is my I.d it is banned hahaha siku ya kwanza kupewa bani nlishtuka [emoji38] hee nan kanbadlshia avatar I mean d.p ...hahah kumbe ndo bani nkamwita swalehe kumwuliza kama alikua anachezea phone hahahhah akasema hajacheza gemu LA nyoka toka juzi daah inasikitisha sana hahah daah
 
Hahahah, umenifanya nimecheka mkuu. Eti nani kanibadilishia ID then swalehe akakataa katakata kuwa hajacheza game la nyoka toka juzi Hahah.

Kumbe ndio mana ukasema baba swalehe ni mapacha mnafanana kwa kila kitu sasa naipata picha mkuu.

Pole bhana utatoka tu sero mkuu. Lol.
 
Hahahah sio mchezo, sijawahi Kula ban toka nijiunge humu

That's good for you mkuu.

Coz JF kama drugs aseee ukishakuwa addicted humu hutaki kukosa hata kidogo kuwepo humu ndani. Sasa mtu akishakula ban ni lazma atafute alternative mkuu.

[HASHTAG]#VivaJf[/HASHTAG]
 
Thanks,

Humu hata kama huchangii Ila unatamani uone nini kinaendelea,

Halafu pia, kudhibiti hasira zetu,
 
Thanks,

Humu hata kama huchangii Ila unatamani uone nini kinaendelea,

Halafu pia, kudhibiti hasira zetu,

Yeah, unachosema ni kweli mkuu.

Ndio mana naona threads nyingine huwa na views nyingi kuliko hata comments.

I love JF.
 
Hahahah, Haya bhana we are waiting.

Lol.
sitaki lawama nkimaliza hii kitu
64b014a72a24193d1b95fd2e21d16642.jpg
 
Back
Top Bottom