Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Hahahah, umenifanya nimecheka mkuu. Eti nani kanibadilishia ID then swalehe akakataa katakata kuwa hajacheza game la nyoka toka juzi Hahah.

Kumbe ndio mana ukasema baba swalehe ni mapacha mnafanana kwa kila kitu sasa naipata picha mkuu.

Pole bhana utatoka tu sero mkuu. Lol.
Hahaa huyu swalehe ni shida sana !!
 
Hahahah sio mchezo, sijawahi Kula ban toka nijiunge humu
Acha utan ban tamu kinoma yan upo serious hujawah kula ban tamu balaa hasa ukiila na kachumbar ukashushia na pepsii...... Hee[emoji15] kwan nyie mnasemea bani IPI !?
 
Naomba niseme machache,
Jf ni sehemu ambayo wanapita watu wengi na wa kila aina kujifunza na kupata habari. Tujitahidi kuelemisha hii jamii ili kupata ukombozi wa jamii ya tatu. Tuzishinde hisia zetu hasa kwenye makwazo na kuonyeshana umwamba bila sababu za msingi.
Nina mwaka wa 10 hapa ndani sijawai "kuchomwa"
Shukrani!

Dah, hongera sana mkuu.

Kungekuwa na ruhusa ya kumpa mtu like zaidi ya moja ningekupa 100likes mkuu.

Congratulations.
 
Sababu mkuu...?
Ktk uzi wake alieleza mengi lakini kubwa ilikuwa shutuma kwa uingozi " mods ". Lakini jf ni addiction kama alvyosema ntu mmoja huko juu jamaa inasemekana alirudi kwa id nyingine kama alwatan kama sikosei. Huyo jamaa ni mzuri ktk kujenga hoja kimaantiki haujalishi ni kweli ama la
 
Back
Top Bottom