yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah hamna Mkuu Beira ndo mtoto wake I mean swalehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah hamna Mkuu Beira ndo mtoto wake I mean swalehe
Wewe umefanya nini leo.?Nahisi Jana mlishinda.....,hongereni...
Nimecheza mechi leo!!!!Wewe umefanya nini leo.?
jana tu nilikuwa namtaniaHuyu Mama watoto sijui yupo wapi miss chagga
Umecheza au ulikua unaruka ruka.Nimecheza mechi leo!!!!
Ww Jana si ulikuwa unanesanesa....Umecheza au ulikua unaruka ruka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuw vita hiyoHahahah mende msafi anammendea nini.
Hahahaha mkuu ulipotea sanashemela..kama nakuona ulivo mpweke
Na ndio maana nikatoa draw. Wewe je.?Ww Jana si ulikuwa unanesanesa....
Ktk uzi wake alieleza mengi lakini kubwa ilikuwa shutuma kwa uingozi " mods ". Lakini jf ni addiction kama alvyosema ntu mmoja huko juu jamaa inasemekana alirudi kwa id nyingine kama alwatan kama sikosei. Huyo jamaa ni mzuri ktk kujenga hoja kimaantiki haujalishi ni kweli ama la