Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Ktk uzi wake alieleza mengi lakini kubwa ilikuwa shutuma kwa uingozi " mods ". Lakini jf ni addiction kama alvyosema ntu mmoja huko juu jamaa inasemekana alirudi kwa id nyingine kama alwatan kama sikosei. Huyo jamaa ni mzuri ktk kujenga hoja kimaantiki haujalishi ni kweli ama la

Hahahah, ni kweli mkuu JF ni kama heroine aseee ukishaionja tu mara moja lazma utake tena sjui kuna nini humu ndani. Lol.

Nishawahi iona hiyo ID ngoja tumuite hapa atuambie aiseee.

al watan
 
Back
Top Bottom