Niombee kiukweli, nampenda huyu mwanadada ila hanielewi kabisaSi upo na zigo ofisini kabisa mkuu. Hahah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niombee kiukweli, nampenda huyu mwanadada ila hanielewi kabisaSi upo na zigo ofisini kabisa mkuu. Hahah.
Hahaa huyu swalehe ni shida sana !!Hahahah, umenifanya nimecheka mkuu. Eti nani kanibadilishia ID then swalehe akakataa katakata kuwa hajacheza game la nyoka toka juzi Hahah.
Kumbe ndio mana ukasema baba swalehe ni mapacha mnafanana kwa kila kitu sasa naipata picha mkuu.
Pole bhana utatoka tu sero mkuu. Lol.
Acha utan ban tamu kinoma yan upo serious hujawah kula ban tamu balaa hasa ukiila na kachumbar ukashushia na pepsii...... Hee[emoji15] kwan nyie mnasemea bani IPI !?Hahahah sio mchezo, sijawahi Kula ban toka nijiunge humu
Naomba niseme machache,
Jf ni sehemu ambayo wanapita watu wengi na wa kila aina kujifunza na kupata habari. Tujitahidi kuelemisha hii jamii ili kupata ukombozi wa jamii ya tatu. Tuzishinde hisia zetu hasa kwenye makwazo na kuonyeshana umwamba bila sababu za msingi.
Nina mwaka wa 10 hapa ndani sijawai "kuchomwa"
Shukrani!
Sikuachidaahhh huu ushilawadu huu
nyani ngabu
baba salehe (jembe langu hili nakesha jiongeza haha)
alonso
hao kupatwa kwa forex na TMT hakuja waacha salama
Kuna uzi wake mrefu tu humu wa kuaga, mkiutafuta mtaona sababu alizoainishaDah, hongera sana mkuu.
Kungekuwa na ruhusa ya kumpa mtu like zaidi ya moja ningekupa 100likes mkuu.
Congratulations.
Ninachokumbuka ni kwamba Kiranga aliaga na kujiondoa JF....
Sababu mkuu...?
Mkuu naona matokeo ya Bournemouth yanakuchanganyaAah labda kumbe nimekosea...
hahaa karibu mkuuSikuachi
Ktk uzi wake alieleza mengi lakini kubwa ilikuwa shutuma kwa uingozi " mods ". Lakini jf ni addiction kama alvyosema ntu mmoja huko juu jamaa inasemekana alirudi kwa id nyingine kama alwatan kama sikosei. Huyo jamaa ni mzuri ktk kujenga hoja kimaantiki haujalishi ni kweli ama laSababu mkuu...?
Ndio naweza nikawa mteja wenu.NI LAZIMA UJUE?
Nahisi Jana mlishinda.....,hongereni...Mkuu naona matokeo ya Bournemouth yanakuchanganya
miss ...unamsingizia