PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Biashara ya kubadilisha fedha za kigeni..forex means foreign exchange marketHV hii forex ndio kitu gn?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya kubadilisha fedha za kigeni..forex means foreign exchange marketHV hii forex ndio kitu gn?!
Well, kwa kifupi ni hivi mkuu.Mkuu naomba unielekeze,naingiaje kwenye hizo profile zao kujua kuwa wapo banned ...?pia kuna mtu niliona anachaingia mada na huku kwenye avatar kuna neno jekundu la banned....hii imekaaje ??
Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!HV hii forex ndio kitu gn?!
Nipo aikambeeHahaha kumbe upo kungwi la vibamia
Ni kweli waanzishe chama tu mtetezi wao wa kujitolea nipo hapa
Na ntakufa navyo nakwambia sio kwa utamu ule
Napendelea hiyo mboga usiogope
Mi nilikuwa natest mitambo....Na ndio maana nikatoa draw. Wewe je.?
Na ntakufa navyo nakwambia sio kwa utamu ule
Unatest mitambo kwenye ligi.? Vijana washaondoka na point zao tatuMi nilikuwa natest mitambo....
Nilikuwa najaribu kama welbeck na iwobi watamudu ww shabiki maandazi.....Unatest mitambo kwenye ligi.? Vijana washaondoka na point zao tatu
Hebu acha upoyoyo na wewe. Yan unatest sa ivi. Watu wanajaribu magari siyo mechi. Na mpk ufike namba 11 ndio utaacha kujaribu.Nilikuwa najaribu kama welbeck na iwobi watamudu ww shabiki maandazi.....
Vizuri sananiko huru sasa mtani
Hhhhhhhh sasa kama sanchoka anavimba mbichwa ntafanyeje...Hebu acha upoyoyo na wewe. Yan unatest sa ivi. Watu wanajaribu magari siyo mechi. Na mpk ufike namba 11 ndio utaacha kujaribu.
Hahaa.. Sasa ivi ushaanza kuwabadili majina, na wakati ulikua unamuita king Alexis. Tatizo timu yenu haina future haieleweki inaenda mbele au inarudi nyuma.Hhhhhhhh sasa kama sanchoka anavimba mbichwa ntafanyeje...