Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Mkuu naomba unielekeze,naingiaje kwenye hizo profile zao kujua kuwa wapo banned ...?pia kuna mtu niliona anachaingia mada na huku kwenye avatar kuna neno jekundu la banned....hii imekaaje ??
Well, kwa kifupi ni hivi mkuu.

Nnavyoelewa mimi ni kuwa, kama mtu ana-comment huku kwenye Avatar yake kuna hilo neno Banned. Inawezekana ikawa ameamua tu kutumia hiyo Avatar lakini ikawa hajapigwa ban.

Kwa mtu aliyepigwa ban kwenye Avatar yake kunakuwa na hilo neno Banned. Na pia, ukiingia kwenye profile yake huwezi kuanzisha conversation au kumtumia PM coz amefungiwa kwa mfano kama hapa chini.

ae3ef3e36d70d5ebd87325a98c436f63.jpg


770ffd945245bd4197fd5905857faa00.jpg


Ila kwa mtu ambaye hajapigwa ban unaweza kuanzisha conversation au kumtumia PM coz hajafungiwa kwa mfano kama hapa chini mkuu.

8cd35c76041fd879fa027c9d67f40c02.jpg


Na pia, ukiwa unatumia app ya JF sidhani kama utaona hivi, ila ukitumia browser kwa mfano UC Browser ukiwa una-type jina la mtu kabla hujamaliza ku-type yanakuja majina ambayo yanafanana na jina la member unayetaka kum-mention. Ila kama mtu amepigwa ban username/jina lake halitokei kwa mfano kama hapa chini mkuu.

0fea12d8945e422316e829d9c556a976.jpg


Unaweza kuona kuwa bwana Matola hayupo hapo juu coz amekula ban. Ila uki-type username/jina ambalo halijapigwa ban linatokea kabla hujamaliza ku-type kwa mfano uki-check hapa chini utaweza kuona limetokea mtongwe.

b9b76755b83b8e84ffe0a1f3eb8f478c.jpg


Cc Midumare Ngatuni Iwato

Karibuni Sana JF wakuu.
 
Kama mtaalam itabidi aanzishe course sababu wanafunzi ni wengi sana aseee.

Mkuu kapeace tupe ushuhuda juu ya haya maneno ya mdau aseee.

Lol.
Ni kweli waanzishe chama tu mtetezi wao wa kujitolea nipo hapa
 
Hhhhhhhh sasa kama sanchoka anavimba mbichwa ntafanyeje...
Hahaa.. Sasa ivi ushaanza kuwabadili majina, na wakati ulikua unamuita king Alexis. Tatizo timu yenu haina future haieleweki inaenda mbele au inarudi nyuma.

Mkuu timu siyo kabila.
 
Napita nikinyataaaa taraaatibuuuu . . . . . .
 
Back
Top Bottom