Tupia neno lako maarufu la kumtakia mpenzi wako njozi/usiku mwema

Tupia neno lako maarufu la kumtakia mpenzi wako njozi/usiku mwema

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Mabingwa wa maloveeee wanautaalam wa maneno ambayo huwa yanatia chachu ya upendo katika mahusiano na kuongeza ugwadu kwenye mapenzi ebu ongezea hapa neno/ maneno lako ambalo ni maarufu kwako kumwambia mpenzi wako kama njia ya kuagana na kutakiana njozi njema.

- Lala unono my sweet.
- Sleep tight.
- Have good dream.
- Nice sleep.

Tupia lako na wewe
 
Hivi wewe kila siku tunamaliza maongezi kwa kugombana?
 
I Know Few Minutes AgoYou Will Be On The Amazing World With Full Dream And Beautifully Moment Please My Honey Love Remember Me WHEREVER You Are. I LOVE YOU.
 
I Know Few Minutes AgoYou Will Be On The Amazing World With Full Dream And Beautifully Moment Please My Honey Love Remember Me WHEREVER You Are. I LOVE YOU.

Inaonyesha unapenda usipo pendwa muraa weld Iz not fea
 
Back
Top Bottom