KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Mabingwa wa maloveeee wanautaalam wa maneno ambayo huwa yanatia chachu ya upendo katika mahusiano na kuongeza ugwadu kwenye mapenzi ebu ongezea hapa neno/ maneno lako ambalo ni maarufu kwako kumwambia mpenzi wako kama njia ya kuagana na kutakiana njozi njema.
- Lala unono my sweet.
- Sleep tight.
- Have good dream.
- Nice sleep.
Tupia lako na wewe
- Lala unono my sweet.
- Sleep tight.
- Have good dream.
- Nice sleep.
Tupia lako na wewe