Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Kumbe ulikua unaufatilia kwa ukaribu kabisa? Aya njoo ata unitaje tu afu tuone tunafanyaje [emoji85] [emoji85]Hahaaa. Huwezi amini Nimeusabscribe kabisaaa. Ila sikupata cha kuandika.
Ngoja nije nione. [emoji124]
Hahahah!! Acha zako bhn mbona kitambo tu najua sema basi tu nazidisha promoKumbe na wewe ulikuwa hujui. Duuh
Ujanja wote huo. Hahahaaaa.
Hahaaaa. Nakuja rafiki.Hahah!! Kumbe ulikua unaufatilia kwa ukaribu kabisa? Aya njoo ata unitaje tu afu tuone tunafanyaje [emoji85] [emoji85]
Karibu sanaHahaaaa. Nakuja rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Karibu sana
Mbinu Mpya inayonipatia Mademu wakali kupitia Jf.Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili na ambao hatujabahatika kuisoma basi nasi tukajumuike huko.
Asanteni.
hahaaa aiseeeHohoh!! [emoji1] [emoji1]