Tupia nyuzi zako pendwa (your favorite threads) hapa.

Tupia nyuzi zako pendwa (your favorite threads) hapa.

Hahaaa. Huwezi amini Nimeusabscribe kabisaaa. Ila sikupata cha kuandika.

Ngoja nije nione. [emoji124]
Hahah!! Kumbe ulikua unaufatilia kwa ukaribu kabisa? Aya njoo ata unitaje tu afu tuone tunafanyaje [emoji85] [emoji85]
 
Vituko, Siku ya kwanza kupanda ndege. Ushamba mzigo huu uzi ulinichekesha sana. nikiwa na stress lazima niutafute. dah uzi alichangia mpaka Ben Saanane.
 
Back
Top Bottom