The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Ni Pro,.? Au noteView attachment 2488553
Red mi 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Pro,.? Au noteView attachment 2488553
Red mi 10
Redmi 10 ni Redmi 10 tu hiyo Note 10 na Note 10 Pro ni Xiaomi nyingine kabisaNi Pro,.? Au note
Kama ilivo andikwa Redmi 10, sio note wala proNi Pro,.? Au note
Aisee
Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu.
IPhone 13 camera hamna kitu
Yaani kwa hizi samsung yenye note na S series, kama uchumi upo chini labda ununue S10+ au laa note 9, chini ya hapo camera ukungu[emoji38]Nafikiria mno s10 plus.www.jamiiforums.com
Tuyaache hayo leo, nimepata wazo la kuja na mchuano wa simu gani inatoa picha kali, weka picha ambayo utapiga baada ya kusoma uzi "usilete za nyuma" haijalishi mazingira ulipo wala wakati iwe usiku au mchana.
Hii itatusaidia kufanya uchaguzi mzuri wa simu kwa wataotaka kubadili simu.
Weka picha na utuambie umepiga picha na simu ya aina gani, Sometimes specs tunazozisoma kwenye vifaa aua GSMARENA ni kama wanatupanga vile.
Hapa ni aina yoyote ya simu ukipost tuambie ni simu gani.
Uwanja ni wenu.
AbeeAisee
Note9
𝚗𝚊 𝚠𝚎𝚣𝚒 𝚠𝚊𝚖𝚎𝚜𝚑𝚊𝚔𝚊𝚝𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚏𝚕𝚊𝚝 𝚋𝚊𝚛 𝚙𝚒𝚊 𝚊𝚙𝚎𝚠𝚎 𝚙𝚘𝚕𝚎hii iko poa