Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Simu gani hii na location ni wapi?

Location ni Karatu, Ngorongoro view point ila upande wa pili wa nje ya crater.

Camera ni iPhone 13PM na nimefeli kupakia picha kwa resolution yake imekuwa compressed sana humu JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…