Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hicho ni kiganja chako?iPhone x, jua la asubuhiğŸ¤View attachment 2650908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni kiganja chako?iPhone x, jua la asubuhiğŸ¤View attachment 2650908
Picha haina focus labda ulikuwa unamlenga huyo jamaa black
Hii imetoka poaMimi ni huyo nmevaa sweta jeusi
View attachment 2650985
Unaishi mkoa gani mkuuXiaomi 9a
View attachment 2651008
Hizi simu hizi mbona cam ya kawaida au haijafanyiwa setting vizuriiPhone x, jua la asubuhiğŸ¤View attachment 2650908
Mnapiga picha za karibu mno hata Itel utaion kama Samsung s23 UtraXiaomi 9a
View attachment 2650988
Hapo ni mwanga kilimanjaro usidanganyike na picha hakufai kipindi cha ukame hakufai ni nyumbani lakini narudi nikiambiwa mvua zimenyeshaUnaishi mkoa gani mkuu
Naona ni pazuri sana
Picha zote za usiku zimetoka HOVYOXiaomi 9a
View attachment 2651008
Ubora wa kamera unachangia kachukue kamera yenye mp5 upige uone kauchafu kanakotoka😂😂😂😂Mnapiga picha za karibu mno hata Itel utaion kama Samsung s23 Utra
Hamna bhana hebu angalia vyema mbona hizi zinazidi hata wale wa pixel 3 😂😂😂Picha zote za usiku zimetoka HOVYO
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni mwanga kilimanjaro usidanganyike na picha hakufai kipindi cha ukame hakufai ni nyumbani lakini narudi nikiambiwa mvua zimenyesha
Mhh acha kabisaaa mji wa kijinga ukame joto na upepo kama ugomviDuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimependa hiyo greenish look, Ila sikujua kuwa kipindi cha ukame hali inakuwa mbaya [emoji28][emoji28]
YaahHicho ni kiganja chako?
Editing ndio kila kituHizi simu hizi mbona cam ya kawaida au haijafanyiwa setting vizuri
Duh hebu wafanye tuone inakuajeEditing ndio kila kitu
HongeraYaah