Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Leo nimeenda China plaza kuulizia google pixel 6a nikaambiwa nitoe 650k, vp wakuu kwa wanaopajua pale vzr nitoe hiyo pesa.?
 
Leo nimeenda China plaza kuulizia google pixel 6a nikaambiwa nitoe 650k, vp wakuu kwa wanaopajua pale vzr nitoe hiyo pesa.?
Kesho ntakuulizia duka moja pale china plaza, nilishanunua hapo simu nne i hope atanifanyia poa. Ikiwa chini ya hapo ntakupa contacts zake
 
Scania xt [emoji991]pixel 4a View attachment 2698488
Kabla ya yote ingia google angalia specification zao maaana zinapishana kidogo sana kwenye camera zote zipo sawa betri 5a Ina 4680 5 Ina 4089 ila 5 Ina reverse charging 5a Haina so nenda pale zahoro matelephone yule jamaa saiv ndo vunjabei wa simu Tanzania ziangalie zote mbili then ujue unachukua ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…