Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
@mbagara jr:Kabla ya yote ingia google angalia specification zao maaana zinapishana kidogo sana kwenye camera zote zipo sawa betri 5a Ina 4680 5 Ina 4089 ila 5 Ina reverse charging 5a Haina so nenda pale zahoro matelephone yule jamaa saiv ndo vunjabei wa simu Tanzania ziangalie zote mbili then ujue unachukua ipi