Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Ngozi laini?ulishamshika???rangi nzuri[emoji3][emoji3]ingekua og basi[emoji3][emoji3]umbo namba nane[emoji3][emoji3]vipi kuhusu zile tait anazopigilia??mwambie aache kushonea wiving,aspake make up,wala asijijaladie,umfotoe afu uje tena kumpambanisha hapa
Mmhh ni mzuri tu kawaida..na anajua kujiremba punguza chumvi mkuu
 
Fanya calculation watoto wa tano still yupo poa jaman hio ni namba nane ambayo o moja ni ndogo nyingine kubwa yupo simple 8
 
kama unaamini hakuna binti Tizedi amzidie huyu kwa kila kitu sio tu uzuri basi hujatembea ndugu..
 
Mkuu umesikia Mond anataka kuachana nae naona unatafuta nafasi Kijanja
 
Kuna wanawake wazuri tu wengi kumzidi huyo mganda,sema sio maarufu,eti malaika acha kukufuru wanaume kwa kutamani tu hapo akitokea ukamuonja zari utamuona wa kawaida tu
 
zari akiwa umbo namba nane huyu tusemeje au we kipofu mkuu

cf7dfc935fcd3898b8913af853c12748--blessed-sunday-zanzibar.jpg
 
Siwezi kuweka picha ya Mama Gaude wangu humu, mkuu tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom