Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali kote huko chujua gari mpka mawasiliano au makumbusho panda gari la kupitia chuo shuka utawala. Nenda hill park nunua maji makubwa ya Kilimanjaro buku tuu kaa ktk kiti ukiitazama UDBS. Usikae sana kama lisaa limoja fuata njia ya adm kakae mdigrii nusu saa then nenda library nje pale. Kisha urudi hapa.Umenena vyema mkuu. Nenda mpaka Kigoma, Ngara mbona utakimbia
HhhaaaZari ni Bibi hupaswi mlinganisha na binti
Ila umemzidiHhhaaa
Kumzidi nini?Ila umemzidi
Na uzuri wa kikundi cha maombi hakuna complications kwenye usajili ukilinganishana kanisaEndelea kuliombea kiongozi;
Utafiti niliofanya inabidi tufungue ministry
au wanasema ni kikundi cha maombi;
HahahahKumzidi nini?
Ukanikimbia ukaishia kulike tu yaan wewe basi nipeleke kempisk kama hyat hupapendi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutumie pesa ituzoee viwanja vipo tu mpenziHahahah
Hiyo hela si bora nikanunue kiwanja Goba.
Hela ni msaliti mbaya sana anaweza potea na usimpate tena, bora uwekeze kwenye kitu utachouza na kupata ht nusu ya hizo hela....Tutumie pesa ituzoee viwanja vipo tu mpenzi
[emoji2] [emoji2]hajakufikia ata nusu,njoo pm basi,kukusifia kote uku ,unaniachaje?
Kwa hiyo hatuendi popotee?Hela ni msaliti mbaya sana anaweza potea na usimpate tena, bora uwekeze kwenye kitu utachouza na kupata ht nusu ya hizo hela....
Njoo Cinemax tuangalia The Climax, Fifty ShadesKwa hiyo hatuendi popotee?