Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Hivi kumbe nae zari mzuri...!!? Kweli uzuri wa kitu upo machoni mwamtu
 
Zari ana miguu mibaya sana..na ana makunyanzi usoni..

Kibaya zaidi hawezi kuonekana bila makeup..
 
Umenena vyema mkuu. Nenda mpaka Kigoma, Ngara mbona utakimbia
Mbali kote huko chujua gari mpka mawasiliano au makumbusho panda gari la kupitia chuo shuka utawala. Nenda hill park nunua maji makubwa ya Kilimanjaro buku tuu kaa ktk kiti ukiitazama UDBS. Usikae sana kama lisaa limoja fuata njia ya adm kakae mdigrii nusu saa then nenda library nje pale. Kisha urudi hapa.
Hao watoi wakezidiwa na zari kuzaa na safari za sauzi tuu
 
Tembea ujionee watoto wazuri wewe.. Huku mtaani kwangu acha kabisa,Ni shidaaaaaa
 
Mleta uzi unatakiwa kutofautisha uzuri na urembo huyo ni mrembo hawezi kuwa mzuri zimekuchanganya nywele za marehemu kichwani rangi za ngozi alizo badiri ripstiki miwani mikubwa huo ni urembo sio uzuri sema zari ni bingwa wa urembo utaeleweka mkuu
 
Ukiwa na mpunga hata ukimtoa binti shamba atatakata sana tu. Wengi wanazeeka sababu ya umaskini fedha na umaskini elimu...
 
Hela ni msaliti mbaya sana anaweza potea na usimpate tena, bora uwekeze kwenye kitu utachouza na kupata ht nusu ya hizo hela....
Kwa hiyo hatuendi popotee?
 
Back
Top Bottom