Mmhh ni mzuri tu kawaida..na anajua kujiremba punguza chumvi mkuuNgozi laini?ulishamshika???rangi nzuri[emoji3][emoji3]ingekua og basi[emoji3][emoji3]umbo namba nane[emoji3][emoji3]vipi kuhusu zile tait anazopigilia??mwambie aache kushonea wiving,aspake make up,wala asijijaladie,umfotoe afu uje tena kumpambanisha hapa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamna chumv mkuuMmhh ni mzuri tu kawaida..na anajua kujiremba punguza chumvi mkuu
hajakufikia ata nusu,njoo pm basi,kukusifia kote uku ,unaniachaje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] hamna chumv mkuu
mama ni mama tu, long live mamdenyi.Tunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Weka tumalize mchezo mm sidhaniTunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
[emoji23] [emoji23] ni wapi huko niendeHahahaaa Dongobesh
Mkuu wale watoto wa kule hawajui mafuta ila wanatelezaaa
Nimekaa kaa kule aisee
Mpango wetu wa kufungua kanisa usiufuteTunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Mpango wetu wa kufungua kanisa usiufute
HahahahahaUmbo namba Nane?..... Yaani Wewe una Macho kumzidi Diamond aliyeimba SURA zarina ... Ila Shepu Sepetu
Safari za huko itabidi zianze mkuuZari ana uzuri gani bana wewe wanaweke wazuri huwajui nenda huko Dongobesh na karatu huyo mbona anasubiri sana tuu
Safari za huko itabidi zianze mkuuZari ana uzuri gani bana wewe wanaweke wazuri huwajui nenda huko Dongobesh na karatu huyo mbona anasubiri sana tuu