Tupia picha ya binti yoyote Tanzania anaemzidi Zari kwa uzuri wa kila kitu

Tunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Yaaap!.Hata wewe mwenyewe Mamndenyi mbona uko vizuri tena unamzidi Zari, asitutishe huyo bhana km yeye kachanganyikiwa naye, ni kimpango wake.
 
Duh, huu sasa ni uzembe wangu binafsi, to be honest simfahamu huyu binti, hata ningekutana nae sasa hivi. Niko shallow kweli na hawa watu wa bongo sijui movie, sijui bongo music sijui aaghhhh nadhani nahitaji kujiongeza sasa
 
Hakuna star wa kibongo anae mfikia kwa uzuri na kwa bongo hakuna msanii wa kike anae mfikia zari kwa kujituma kutafuta pesa kwa njia za halali...wakati kibongo bongo wanawaza wakiwa maarufu wanawaza kupata wanaume wa kuwahonga magari majumba na pesa za kuruka kwanja
 
Watabisha kwa maneno ila moyoni wanamkubali mkuu. Zari ni mrembo anaejielewa sio hawa takataka wa tz kutwa kujidhalilisha mitandaoni
 
Tuseme basi kwa wanawawake waliozaa watoto kuanzia mmoja tuu umkompee na zari ukweli ni kwamba zari anawaacha mbali kwa kujikeep good, hajajibweteka, hajajiachia kama furushi. Kidogo mimi namkaribia mwili wake kwa watotot wa3 nilionao still nipo kama kigori😀😀
 
Wanawake wa vijijin si ndo wamehamia mjini bas tu ile kujisoup soup mnawaona wazur

Ata sis wa kijjin tukija huko mbona tunakua warembo tu ata zaidi
 


Cynthia masasi ...yuko wapi siku hizi






Warda warid...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…