Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Taratibu inaumiza tumbo bana , sema hatua kwa hatua !!.Khaaaa we bwana xi taratibu
Kweli Dina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu inaumiza tumbo bana , sema hatua kwa hatua !!.Khaaaa we bwana xi taratibu
Aah! Wapi, mbona anazidiwa na mke wangu.Yaani hakuna ubishi
Umeona eennhh!, hamna kitu hapo.asikae juani huyo hayo maplastiki yatayeyuka
Yaaap!.Hata wewe mwenyewe Mamndenyi mbona uko vizuri tena unamzidi Zari, asitutishe huyo bhana km yeye kachanganyikiwa naye, ni kimpango wake.Tunao watoto wazuri tu, ila hatutaki kuweka picha zao hapa
Analipwa huyu, sio bure.Siyo biashara hiyo
Kwanini hunitaki jamanMimi sikutaki
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] .Tatizo la zari miguu minene kuliko mapaja
Watabisha kwa maneno ila moyoni wanamkubali mkuu. Zari ni mrembo anaejielewa sio hawa takataka wa tz kutwa kujidhalilisha mitandaoniNampenda sana mwanamke huyu na popote alipo sifa zangu toka moyoni zikufikie.
Nimemtafakari kwa kina sana na kujiuliza kwanini mabinti bongo wamemjengea chuki
Jibu; Zari ni mzuri hakuna anaemzidi hvyo wanabaki na donge au chuki moyon wanatamani kuwa kama yeye.
SIFA ZAKE TUANGALIE
1.Zari ana mwili laini sana
2.Umbo namba 8
3.Rangi imetulia
4.Ukihitaji mguu wa bia anao
5.Kupangilia mavazi anajua
6.Ni mama watoto 5 lakini utasema ni kigoli
7.Ana akili ya kutafuta
8.Kujipenda
Zari Mungu amekusuka kama engine hujaumbwa, wengine wanatamani kuwa kama wewe, hata kama umezaa watoto 3 lakini Diamond ameokota mgodi wa dhahabu au dodo kwenye mwarobaini.
Zari umetokea sayari ambayo wanaishi malaika tupu ni bahati mbaya ukaangukia duniani.
Binafsi wazee Zari nina sifa nyingi za kusema lakini wacha nikae kimya.
ZARI WEWE NI HABARI NYINGINE UPO DUNIANI BAHATI MBAYA ULIPASWA KUWA MALAIKA HUSTAHILI HATA VUMBI LIKUGUSE NATAMANI HATA KUWA HOUSEBOY WAKO PAMOJA NA KUWA UNDERGRADUATE ILI NIKUONE NIKIWA NAMWAGILIA BUSTANI AU KUSAFISHA NYUMBA NIPATE HATA ILE HARUFU YA PAFYUMU YA 2MILLION
ZARI WANAWAKE KWA WAUME WANAKUKUBALI MOYONI KUANZIA UG HADI TZ
![]()
Kama wewe mbishi tupia bint anaemzidi uzuri zari The Angel
Kweli una macho ila hujui kuonaHamna kitu hapa ,hamna kabisaa!!.
Kweli bana nyinyi wanawake huwa mnakawaida yakuoneana wivu na kutokubaliana.Kweli una macho ila hujui kuona
Wanawake wa vijijin si ndo wamehamia mjini bas tu ile kujisoup soup mnawaona wazurNyinyi wavulana wa mikoani mnatuaibisha sana, huyo ni mama wa watoto saba nafikiri, ni mwanamke wa kawaida sana, sisi huku mjini ata wafanya usafi wa kwenye majengo yetu ni wazuri mara mia mbili ya huyo mama. Njoo mjini, ukae kituo cha mabasi cha posta mpya kuanzia asubuhi mpaka jioni alafu utajuta kwanini unaishi huko vijijini ambako wanawake wenu wamechukua sura za babu zao.