Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nasubiria zamu yetu ifikiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sio wa huko kaskazini dada?? Najuaga wee ni wa huko pia.
 
Wachaga nawakubari sana ile tamaduni ya kurudi december na kujenga nyumbani mpo vizuri sana, hizi tamaduni hata sisi wanyakyusa tulikuwa nazo ila sijui imekuwaje??!!sasa hivi!?
Hata huku zitaisha mkuu naona sasa tunazaana sana Kwa kuingiliana kabila fulan na kbla fulan , ndo chanzo kikubwa cha kuwa wamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…