Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Machame
FB_IMG_16585074084673673.jpg
 
Wakuu leteni picha za majengo hayo huko Kilimanjaro nimeyapenda sana. Watu waache ujinga kuonyesha majengo ya mahali sio ukabila.
Nia sio majengo mkuu , tatzo unapga picha majengo yanajileta yenywe tu ingekua ni majengo ningepiga kwangu .
 
Hizi picha zisiwapumbaze ambao hawajafika mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya Hai na Siha na Same ni balaa tupu.
Ukiambiwa ukaishi Same kwanza inabidi UTOKWE na MACHOZI.

Hakuna Wilaya Mbovuuu ndani ya Kilimanjaro kama Same.

In short, Kilimanjaro Ni Moshi tu.

Huko kwingine OGOPA Kama KIFUTU.
 
Wachagga kwanza nyinyi Nepotism imewaharibu, pili nyinyi ni washamba kuliko makabila yote Tanzania, yaani kila siku kuanzisha mathread ya upupu tu humu, mnatafuta kiki zisizo na maana hacheni ushamba, tofauti na mlima Kilimanjaro hamna kingine cha kutalii huko kwa wanywa mbenge

Hacheni Nepotism mataka taka nyie
 
Sikuanzisha uzi huu Kwa nia hiyo mkuu , mbona tukiposti sehemu wanazopika pombe chafu uchagani hausemi hvyo mkuu. Kosa langu mimi ni kupenda mazingira au? Nimekuruhusu nitukane Tusi lolote mkuu roho yako iridhike.
 
Ukiambiwa ukaishi Same kwanza inabidi UTOKWE na MACHOZI.

Hakuna Wilaya Mbovuuu ndani ya Kilimanjaro kama Same.

In short, Kilimanjaro Ni Moshi tu.

Huko kwingine OGOPA Kama KIFUTU.
Hupajui same wewe kuna maeneo Kwa ukijani ata moshi rombo na hai zinasubiri, maeneo ya chini yote yana hali tofauti na juu , nafikir wachaga eneo lolote ata paris kama halina miti na migomba wanaita porini
 
Back
Top Bottom