ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Wewe wilaya ya same umefika maeneo gani kwanza?Hizi picha zisiwapumbaze ambao hawajafika mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya Hai na Siha na Same ni balaa tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wilaya ya same umefika maeneo gani kwanza?Hizi picha zisiwapumbaze ambao hawajafika mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya Hai na Siha na Same ni balaa tupu.
Kwan ttz liko wapi weka ss hizo picha za vumbi mpaka macho yanakuwa kama ya albino ndio utalii wenyewe huo tunataka tuuone 😀😀😀Nikisema Vumbi simaanishi mchanga.
Unalijua Vumbi la Kigoma ?
Vumbi Kama Hilo ndilo liko baadhi ya maeneo uchaggani halafu, linapulizwa na UPEPO muda wote mpaka macho yanakuwa Kama albino
Safi kama hivi hapa wapi kiongozi nataka likizo nifike huku nijionee 😀😀😀
Alaf aliyeleta mada nadhan hana lengo la kushindana bali ni picha yoyote ya mkoa uliopo unatupia hata kama sio mwenyeji wa hapoWakuu leteni picha za majengo hayo huko Kilimanjaro nimeyapenda sana. Watu waache ujinga kuonyesha majengo ya mahali sio ukabila.