Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Kwahiyo huku mnaishi lini?

Hizo siku 3 za Christmas?

Au siku za 3 za misiba.
Hizohizo mkuu , ivi unajua tukipoteza zaidi ya wiki tunapoteza sh ngp na wateja wangp , labda hauwez jua kma haujafanya biashara Dar.
 
Kuna Mwalimu hapa anatafuta mtu wa kubadilishana kituo Cha kazi, wewe uje Kilimanjaro.

Ni pazuri kinomaaa
Mm najua wew unaogopa mifumo ya kibepari ya huko uchagan, ila kma kweli umezoea kuishi kijamaa uchagani utapachukia tu.
 
[emoji23][emoji23]boss hapa umedanganya ,ukitoaa wasukuma na wamasai eti Chagas ndo namba tatu.

Hao wamasai hata top five hawaingii
 
[emoji23][emoji23] sidhani kama atakubali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona kuna wengi tu wanakaa na wanaendelea, nikupe siri hii ukifanya biashara uchagani kama wewe sio mchga unafanikiwa sana , coz wachawi uchwara na wezi wa huko wanaogopa sna mtu wa kuja, coz uchagani hamna walozi ambao wapo serious na Kaz yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…