Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Kwahiyo huku mnaishi lini?

Hizo siku 3 za Christmas?

Au siku za 3 za misiba.
Hizohizo mkuu , ivi unajua tukipoteza zaidi ya wiki tunapoteza sh ngp na wateja wangp , labda hauwez jua kma haujafanya biashara Dar.
 
Kuna Mwalimu hapa anatafuta mtu wa kubadilishana kituo Cha kazi, wewe uje Kilimanjaro.

Ni pazuri kinomaaa
Mm najua wew unaogopa mifumo ya kibepari ya huko uchagan, ila kma kweli umezoea kuishi kijamaa uchagani utapachukia tu.
 
Wachaga ni kabila tatu Kwa idadi ya watu tz ukitoa wasukuma na wamasai! Ulitegemea uchagani patoshe Kwa idadi hyo ya watu? Kuna maeneo huko uchagani ata sehemu ya kujenga hakuna! Ndo maana wanatoka kutafuta maeneo mengne, tanzania ni yetu sote mbona kuna watu kutoka kusuni wengi wamenunua maeneo uchagan , na wabafurahia mbege tu kma wenyeji?
[emoji23][emoji23]boss hapa umedanganya ,ukitoaa wasukuma na wamasai eti Chagas ndo namba tatu.

Hao wamasai hata top five hawaingii
 
LINDI
Sea-View-Beach-Resort.jpg
 
[emoji23][emoji23] sidhani kama atakubali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona kuna wengi tu wanakaa na wanaendelea, nikupe siri hii ukifanya biashara uchagani kama wewe sio mchga unafanikiwa sana , coz wachawi uchwara na wezi wa huko wanaogopa sna mtu wa kuja, coz uchagani hamna walozi ambao wapo serious na Kaz yao.
 
Back
Top Bottom