Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Unajua wameru na wachaga wakiamua kumwaga maziwa kutoka milimani ni maporoko ya hatarii na inaweza kusomba makabila yote mavamizi huko chini?
Sasa kwa nini wasimwage? Hivi kuna watu wanajivunia maziwa karne hii[emoji23][emoji23] nani hayatumii maziwa sasa?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mji wa Israel ya zamani hii.sijui hata Dar wanakuja kutafuta nini.
Dar ni kama maji, usipoyaoga utachambia. Dar ndiyo kwa wajanja, huwezi ifananisha Dar na KLM, so wanakuja kutafuta chakula na huduma bora, KLM njaa njaa tu hakuna chochote. Ukiwa huna hela hata mbwa wako atakukimbia au kukumbwekea. [emoji23][emoji23] sorry lakini

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mnaongoza kwa kubwa kupasifia Kilimanjaro.

Lakini cha kushangaza hayo maeneo mnayosifia kila siku, mnaongoza KUYAKIMBIA KILA SEKUNDE.
Mimi nmetembelea huko mkuu sio mwenyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…