Tulia weweee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweee
Hapa ndiyo nimeona Chuki kwa macho, yaani unataman uchagani kunge geuka jehanam, ila Mungu si baba yako.Hakuna mandhari nzuri uchaggani. Mkoa umejaa TOPE, MIINUKO, MQBONDE na VUMBI JEKUNDUUU.
Ni maeneo machache sana Yana unyevu na baridi unaofanya majani kuwa kijani nyakati fulani za mwaka.
Tatizo kubwa mnaazisha maada ili msifiwe. Mkichanwa ukweli mnaanza kusema Chuki.Hapa ndiyo nimeona Chuki kwa macho, yaani unataman uchagani kunge geuka jehanam, ila Mungu si baba yako.
Tatizo kubwa mnaazisha maada ili msifiwe. Mkichanwa ukweli mnaanza kusema Chuki.
Huko uchaggani nimezurula Kitongoji mpaka nyumba kwa nyumba.
Kwahiyo lazima ukweli mchungu usemwe.
Kwanza rudini kwenu.
Hakuna mtu wa kuja huku Kilimanjaro anayepapenda huku. Yaani watu wapo tu kibishi.Na wewe uki ambiwa urudi kwenu utakuwa tayari kutelekeza hicho kijumba chako hapo kwa mtogole? Na kijiwe chako cha kushonea viatu utamuachia nani?
No place like home in Diddy's voiceHome sweet home 😘
Hapana..Nyie mmezidi aisee..Issue ni mandhari nzuri, utapeli upo dunia nzima.
Mangi acha kujitekenya mwenyew...Kilimanjaro especially wilaya ya Moshi ni one among the best to hang around especially ukiwa likizo na una kibunda chako.
Pazuri sana. Na wenyeji wake ni wakarimu ukiwa mstaarabu. Na very friendly ukiwa mtu wa kujiongeza unapokuwa nao.
Si kweli kuwa wanaendekeza kupenda pesa hiyo ni tabia ta kupakazia. Me nimekaa nao. Ni miongoni mwa jamii zenye maadili mazuri tu.
Nakumbuka tulikwenda milimani kule tulikaribishwa nyama ya mbuzi, mbege, pilau matunda. Na tulipoondoka walitufungia ya kwenda nayo. Ni kijijini kwa rafiki yangu anaitwa Mushi. Walitukirimu vizuri sana hadi nikajihisi pengine me ni mzungu halafu sijui.
Ukitoa kakitu kidogo utaheshimishwa hadi basi. Nakumbuka tulienda kwenye hafla ya kukomboa mtoto ya mwenzetu. Alipotimiza masharti tukapokelewa kwa tafrija. So tulikwenda na zawadi na kutatoa pesa ya vinywaji na chakula. Walituchangamkia sana. Wadada wakawa wanatuhudumia utadhani tumetoka ukoo wa ufalme.
SWa mhaya ila mimi na demu mnyambo wa karagwe nipo nae huku vijijini na marafiki wa kihaya wengi sana wakija kunitembelea wanKiri walituchukulia vibaya mwanzoni , japo sasa vjna wa ovyo wapo wengi.Mangi acha kujitekenya mwenyew...
Ukweli usemwe watu wengi wa huko hawana roho za kibinadamu wa kawaida...ule utu wa kawaida hamna kabisa japo sio wote...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona naona wewe ndio mkabila au ni wivu?Mshaanza ujinga na ushamba kumepauka ujinga tupu
Ukabila acheni pambana na Maisha yenu bakini huko huko mtapeliane vizuri
Mkabila unajua kabila langu Happ kataja uchagani kama uelewe sio kingereza kingi kichwani hujui hata kutengeneza njiti ya kibiritiMbona naona wewe ndio mkabila au ni wivu?
Yaani watu wasicelebrate kwao sababu wanakuogopa wewe?
Why suppressing them?Why all this scaring?
Uchagani ni tofauti na Upareni...Mkabila unajua kabila langu Happ kataja uchagani kama uelewe sio kingereza kingi kichwani hujui hata kutengeneza njiti ya kibiriti
Kilimanjaro hamna wapare mpaka aseme uchaganj
Hili ni jukwa huru watu wa makabila mengine hawajakatazwa sababu mtoa Uzi hajaponda kabila lingine lolote like hata wewe una uhuru wa kupasifa kwenuMshaanza ujinga na ushamba kumepauka ujinga tupu
Ukabila acheni pambana na Maisha yenu bakini huko huko mtapeliane vizuri