Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Mtu ambaye Ni wa KUJA. Wanaweza kukuita CHASAKA au MPORI yaani mtu wa PORINI.

Yaani siyo mchagga.

Ila pia hata wao kwa wao wanabaguana, sometimes wanaitana hivyo. Mchagga wa Rombo anamuita MPORI mchagga wa MWIKA, URU, MACHAME na vice versa.
Mkuu kukaa huko mashati usijione unajua kila kitu
 
... kuna siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Dodoma kutokea Dar na mojawapo ya yale mabasi ambayo yakikaribia Morogoro Mjini just before Mkambarani huwa yanakaguliwa na Uhamiaji.

Sasa ndani ya basi alikuwepo abiria mmoja, mdada mmoja mrembo kweli kweli; yes, alikuwa na sifa zote za kuitwa mzuri - sura yake, shape lake, vaa yake, nywele zake, urefu wake, rangi yake - so admiring hasa wanawake wenzake ukiwasoma nyuso zao unaona wamemu-admire. Kasoro mojawapo kwake ni nyodo - mara achukue kioo ajiangalie, ajipulizie perfume, and the like.

Sasa bwana, basi lilipofika sehemu fulani hivi Dodoma (sipajui kwa jina) ila ilipo njia panda ya Kiteto - kulia na Kongwa (au Mpwapwa kama sijakosea) - kushoto, yule mrembo akasimamisha gari akashuka huku akimtaka konda amtolee mzigo wake ulioko kwenye buti; basi hiloo likaondoka zake likimwacha pahala pale.

From there to Chamwino niliposhuka stori zilizokuwa zinaendelea ni za yule dada huku wengi wakicheka! Sikuelewa kwanini! Huyooo nikaingia zangu home Chamwino.
 
Kwahiyo Mashati siyo uchaggani?
Ni uchagani ila wewe sijui uli fanyiwa nini huko , unachuki sana kiongozi , pia huko mashati ulipo mbona kuna watu wazur sna tu na wenye mwamko wa maendeleo mno , japo pia wa ovyo wapo kila mahali dunian.
 
Au ni makasiriko ya ongezo dogo la mshahara babuu?
 
Ni uchagani ila wewe sijui uli fanyiwa nini huko , unachuki sana kiongozi , pia huko mashati ulipo mbona kuna watu wazur sna tu na wenye mwamko wa maendeleo mno , japo pia wa ovyo wapo kila mahali dunian.
Nimeishi uchaggani sehemu nyingi kuanzia Machame, Uru, Moshi, Uchira, Usseri, Nanjara mpaka Rongai huko.

Hakuna kilichobaki.
 
Usangi na ugweno hiyoView attachment 2300985View attachment 2300988View attachment 2300990View attachment 2300986View attachment 2300987View attachment 2300989
FB_IMG_16585652659377702.jpg
View attachment 2300991
 
Umenikumbusha leo asubuhi...nimepanda panda bajaji ya mchaga mmoja na tukakubaliana bei kuwa ni 2000 kabisa...tena kulikuwa na bajaji nyingine wananigombania..

Kuja kushuka mwendo hata km 2 hazifiki kapandisha nauli na kusema 5000...kidogo tuzichape lakin baadae nikamuacha tu tena nikampa 10000..sijui anajisikiaje mpaka sasa kwa aibu akiniona...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wee jamaa huwa una chuki sana na watu wa Kaskazini.
 
Itoshe tuu kusema watu wana stress. Unaanzaje kukasirika just bz mtu kapost picha za mkoa wake!!!!
 
Ukagundua nini?
Uchaggani hapafai na ndio maana hata wenyeji wenyewe wanaongoza kupakimbia.

Mchagga anambagua hata mchagga mwenzake, kwahiyo usitegemee awe mwema kwako ambaye ni Chasaka.

Wachagga wanaishi kwa Janja Janja sana kiasi kwamba HAKUNA MSAFI, ikitokea amefikishwa kwa pilato.

Hakuna anaheshimika Kama Hana pesa hata awe mzazi.
 
Wachaga ni kabila tatu Kwa idadi ya watu tz ukitoa wasukuma na wamasai! Ulitegemea uchagani patoshe Kwa idadi hyo ya watu? Kuna maeneo huko uchagani ata sehemu ya kujenga hakuna! Ndo maana wanatoka kutafuta maeneo mengne, tanzania ni yetu sote mbona kuna watu kutoka kusuni wengi wamenunua maeneo uchagan , na wabafurahia mbege tu kma wenyeji?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu weka picha acha kujibu watu wa itilima na nyansogole, hawawezi kukuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu weka picha acha kujibu watu wa itilima na nyansogole, hawawezi kukuelewa.
Kma ni hivi mkuu bora nisiweke kuna picha nyingne za ndan ndan migombn zitaleta violence kabsa mkuu.
 
Back
Top Bottom