Hata Mimi nashangaa hii arsenal fainal inapigwa goal 4 na Chelsea utazani ni ligi ndo I we top 4 fainal unapigwa goal 1 au 2 kujitaidi Sana goali 3 lakini wao wanapigwa 4.siku zote arsenal ni timu ya homa ya vipindi.Watu wote mnaoiweka arsenal kwenye top4 nawashangaa sana
mmmhh Everton ??Aman iwe nanyi wakuu
Kulingana na usajili ulivyo msimu huu natabili hii ndo top four yangu msimu huu
Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY
SawaUmepotea kiongoz wangu
Chelsea huwa hawatupi nafasi lakini kawaida yetu haipiti miaka mitatu bila kubeba epl,na wanajifanya hawajui hiliChelsea
Liverpool
Manchester city
Manchester utd.
Chama langu tunainua makwapa msimu huu hamtoamini.
1. LiverpoolAman iwe nanyi wakuu
Kulingana na usajili ulivyo msimu huu natabili hii ndo top four yangu msimu huu
Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY