Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Watu wote mnaoiweka arsenal kwenye top4 nawashangaa sana
Hata Mimi nashangaa hii arsenal fainal inapigwa goal 4 na Chelsea utazani ni ligi ndo I we top 4 fainal unapigwa goal 1 au 2 kujitaidi Sana goali 3 lakini wao wanapigwa 4.siku zote arsenal ni timu ya homa ya vipindi.
 
Manchester United itakuja kasi sana, na itakusanya points 25 katika mechi zake 10 za mwanzo
 
Nimesoma post zote, Liverpool imwekwa top 4 kasoro ng'ombe mmoja tu ndo ameitoa. Kwa hesabu za probability Liverpool ndo bingwa. Therefore :

Liverpool
Man city
Chelsea
Tottenham
 
Man City Na Liverpool Watakuwemo. Ila Nafasi Ya 3,4
Ntasema Dirisha Likifungwa La Usajili.
 
Arsenal. Man City. Liverpool. Man United
Yoyote kati ya hizi atakuwa bingwa
 
1. Man city
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Tottenham
5. Chelsea
6. Man Utd
7. Everton
8. Leicester City
9. West ham
10. Wolverhampton
 
Chelsea
Liverpool
Manchester city
Manchester utd.

Chama langu tunainua makwapa msimu huu hamtoamini.
Chelsea huwa hawatupi nafasi lakini kawaida yetu haipiti miaka mitatu bila kubeba epl,na wanajifanya hawajui hili
 
Back
Top Bottom