Chelsea huwa wanatutoa kabisa ktk top four zao miaka yote,ila huwa tunawaumbua na prediction zao,na huwa haipiti miaka mitatu bila kubeba epl, anyway prediction yangu ni Man City au Chelsea mmojawapo atakuwa bingwa,hao wawili ni Liverpool na Tottenham,man utd na Arsenal bado mtaendelea kutusubiri
Sijawahi kuona Chelsea ikitabiriwa na wengi kuwa top four kwa miaka kadhaa sasa...na msimu uliopita kuna watu walisema itashuka daraja....lkn ligi ikimalizika inaacha watabili uchwala mkiumbuka ***** zenu....na niwakumbushe tu.....Chelsea ndo timu iliobeba makombe mengi tangu mwaka 2005 mpaka sasa pale england
Tatizo la wana arsenal na man u wanajua wazi lazima tuwe namba 1-4 na tutanyanyua kwapaChelsea ya mwaka huu ni bonge la team kuna vijana lazima waoneshe kujituma ili waaminiwe
Lampard hawezi kutimuliwa hadi ban iishe ili atumie hela za mauzo ya hazardous Hazard na Morata. Atapimwa baada ya hapo. Na laiti akina CHO na Loftus Cheek wasingekuwa majeruhi Chelsea ingetisha sana.1. Man City
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Man Utd
Frank Lampard atakuwa kocha wa kwanza kwa timu kubwa kutimuliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ole millya anaanza kufukuzwa
Arsenal
Liverpool
Man city
Man u
10. Chelsea
wenzako wanabashiri kwa maono Yao top four mwaka huu.. wewe umekalia kuikandia man u na arsenal.. kumbe wewe Chelsea okChelsea ya mwaka huu ni bonge la team kuna vijana lazima waoneshe kujituma ili waaminiwe
Liverpool ligi inavyooanza ijumaa ndio tutaanza kuongoza na itakuwa hivyo hadi mwisho wa musimu
Kwa hiyo kwa kuwa unaikubali wewe ndo lazima iwepo top four.... haya hao usiowata wewe man u na arsenal wameanza kwa ushindi na hiyo Chelsea yako imekula nne na timu hiyo usioitaka man uNaikubali sana hiyo team ndo maana nimeiweka top4 kila mwaka lazima iondoke na kikombe