Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Tupia top 4 yako EPL 2019/2020

Aman iwe nanyi wakuu

Kulingana na usajili ulivyo msimu huu natabili hii ndo top four yangu msimu huu

Man city
Chelsea
Liverpool
Everton
LONDON BOY
Mzee baba vipi umeshalewa? unaitaja Everton kwenye top 4??Man City, liverpool,Tottenham.watakamata nafasi tatu za mwanzo. nafasi ya 4 waliobakia watatoana jasho.
 
Man u
Man city
Liverpool
Tottenham.
 
Chelsea kila msimu huwa ana kombe lake mzee
Chelsea huwa wanatutoa kabisa ktk top four zao miaka yote,ila huwa tunawaumbua na prediction zao,na huwa haipiti miaka mitatu bila kubeba epl, anyway prediction yangu ni Man City au Chelsea mmojawapo atakuwa bingwa,hao wawili ni Liverpool na Tottenham,man utd na Arsenal bado mtaendelea kutusubiri
 
Sijawahi kuona Chelsea ikitabiriwa na wengi kuwa top four kwa miaka kadhaa sasa...na msimu uliopita kuna watu walisema itashuka daraja....lkn ligi ikimalizika inaacha watabili uchwala mkiumbuka ***** zenu....na niwakumbushe tu.....Chelsea ndo timu iliobeba makombe mengi tangu mwaka 2005 mpaka sasa pale england
 
Mnachukia chelsea haha sasa mtaona
Tunainua kwapa kwa chochote na hapo 4 tupo sasa komaeni na ma#ungu
 
Sijawahi kuona Chelsea ikitabiriwa na wengi kuwa top four kwa miaka kadhaa sasa...na msimu uliopita kuna watu walisema itashuka daraja....lkn ligi ikimalizika inaacha watabili uchwala mkiumbuka ***** zenu....na niwakumbushe tu.....Chelsea ndo timu iliobeba makombe mengi tangu mwaka 2005 mpaka sasa pale england
Wana chuki na Chelsea kutokana na mafanikio yao ndo maana wanalazimisha eti arsenal iwe top 4 ingawa wanajua uwo uwezo hawana.
 
Back
Top Bottom